KENYA NATIONAL ANTHEM | |
---|---|
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na ndugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi |
O God of all creation Bless this our land and nation Justice be our shield and defender May we dwell in unity Peace and liberty Plenty be found within our borders |
Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda |
Let one and all arise With hearts both strong and true Service be our earnest endeavour And our homeland of Kenya Heritage of splendour Firm may we stand to defend |
Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani |
Let all with one accord In common bond united Build this our nation together And the glory of Kenya The fruit of our labour Fill every heart with thanksgiving |
Home
Back
Guest
Book
Disclaimer
Copyright © Jeremy Youngman